NUKUU TOKA REDIO MARIA
..watu wengi wamejeruhiwa miguu
......ni mlipuko
.....Olasiti Arusha
...kitu kilirushwa au kutokea chini kwenye moramu iliyo mwagwa....
....kuna watu wanahisiwa kuja eneo la tukio kwa gari na kurusha hiko kitu na kukimbia kutokomea na gari...maelezo ya mtoto mdogo anaye sadikiwa kuona watuhumiwa....
..watoto wengi na kina mama wamejeruhiwa..
Mwendo wa kuelekea saa tano adhuhuri ya leo katika Parokia ya Mpya ya Yosefu Mfanyakazi iliyokuwa inafunguliwa leo, pametokea mlipuko uliojeruhi watu kadhaa.
Kwa mujibu wa taarifa zinazosikika moja kwa moja kupitia Radio Maria, Tanzania, mlipuko huo umtookana na kitu ambacho kinasadikika kuwa lilikuwa ni bomu. Hata na hivyo haijafahamika ikiwa ndivyo, lilikuwa ni bomu la kutegwa ama kurushwa kwa mkono. Ni vigumu na mapema sana kuthibitisha kilicholipuka. Tafadhali tuvute subira kwa kuisubiri taarifa ya Polisi.
Inaripotiwa kuwa wengi wamejeruhiwa miguuni na kulazimika kuwahishwa hospitalini kwa matibabu zaidi. Hakuna taarifa zozote za kifo zilizoripotiwa.

Kwa muda huu, viongozi
mbalimbali wa Kanisa akiwemo mwakilishi wa Papa aliyekuwa anatabaruku
Kigango hicho kilichozaliwa mwaka 2008 kuwa Parokia, Padre Francisco
Padilla na viongozi wa jeshi la polisi na usalama, wanaendelea na kikao
ili kuamua hatima ya misa iliyokatizwa.