.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Saturday, June 1, 2013

MKANDA WA NGONO WA MWAKILISHI WA ZIMBABWE BBA WAVUJA

Pokello, Mwanadada mshiriki wa Big Brother Africa akiwa mwakilishi wa nchi ya Zimbabwe amejikuta katika wakati mgumu baada ya boyfriend  wake alipoamua  kufanya kitu ambacho ni 'unspeakable' kwa kuvujisha kwenye mtandao mkanda wao wa ngono walio urekodi.
 Chase, Pokello amekubwa na scandal hiyo mara tuu baada ya kuingia kwenye mashindano hayo ya Big Brother Africa. Kutoka kwa www.peacefmonline.com inadaiwa mkanda huo ulirecodiwa na Pokello akiwa na boyfriend wake Desmond Chidem ambaye nae ni msanii.................

 Desmond Chidem ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kupitia mkanda huo unaomwonesha akifanya mapenzi na bint huyo ambaye hawajaoana. Pokello ambaye ni mzaliwa wa Harare nchini zimbabwe mwenye shahada ya sanaa na mawasiliano ya uma anamiliki boutique kubwa  nchini humo. Akihojiwa kuhusu nini mashabiki watarajie kutoka kwake alianza kwa kusema kuwa yeye ni mzuri mwenye akili nyingi na mwenye kijiamini, na alisema kuwa endapo atashinda fedha hizo
USD 300 000 atajenga nyumba kubwa ya kwake na ya mtoto wake na pia aliahidi kumpeleka mtoto wake huyo wa kiume katika akademia ya mpira wa miguu london.

RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE