.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Saturday, April 7, 2012

KIFO CHA KANUMBA, CHANZO CHAPATIKANA




MDOGO WAKE KANUMBA
Baada ya kifo cha Kanumba, hivi sasa mdogo wake aliyekuwa akiishi naye  nyumbani kwake asema kulikuwa a ugomvi kati ya kaka yake na muigizaji Maarufu Elizabeth Michael alimaarufu Kitu kilichowapelekea Kanumba na Lulu kuingia chumbani na kumwacha mdogo wake kanumba sebuleni.  

LULU
 baada ya muda mfupi Lulu alitoka chumbani akiwa anamuita na walipoingia chumbani walimkuta kanumba kaanguka, mdogo wake alipoenda kumuita daktari wa kanumba mara tuu aliporudi hamkuta tena Lulu nyumbani.
Hadi sasa tunapoongea Lulu yupo chini ya ulinzi wa polisi ostrebay kwa mahojiano zaidi, 
Baada ya kuanguka

       


                                          R.I.P THE GREAT KANUMBA

RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE