tag:blogger.com,1999:blog-50836359200578847312024-02-19T17:17:01.445-08:00TUMSIFU THE GREATTUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comBlogger116125tag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-34989584358730572922019-05-08T10:02:00.001-07:002019-05-08T10:02:13.203-07:00Mambo usiyoyajua kumhusu Dk Reginald Mengihttps://www.youtube.com/watch?v=MSUHXSzg_f4TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-64631443081119934192015-04-02T01:57:00.002-07:002015-04-02T02:16:31.559-07:00MSIMU MPYA WA KILI MUSIC AWARDS 2015 UMEWADIA
Msimu wa utoaji tuzo kwa wasanii wa muziki Tanzania wanaofanya vizuri umewadia huku mchakato wa awali wa mchanganuo wa tuzo hizo za Kili Tanzania Music Awards 2015 (KTMA) ukianza rasmi wiki hii.
Wakati mchakato huo ukisubiri mashabiki kuamua msanii yupi aingie katika kipengele kipi, wasanii wengi watakuwa matumbo joto kwa kile kinachoelezwa kwamba KTMA sasa zimekubalika zaidi kwao na TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-60059847040374602222015-04-02T01:12:00.003-07:002015-04-02T01:12:49.349-07:00"MALIPO YA MNYONGE" COMING SOON
"MALIPO YA MNYONGE" ni filamu ya kiswahili inayozungumzia unyanyasaji wa kijinsia, mfumo dume na mila potofu katika jamii....movie hii imerekodiwa kwenye mazingira ya Kitanzania.....shooted & Edited by TUMSIFU KOMBE
TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-81112883080306812342015-04-02T00:48:00.001-07:002015-04-02T00:48:43.614-07:00New Video: Kanzu Maasai-MAISHA
Video Directed by Tumsifu Kombe @NORTHWOOD PICTURES
TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-8428745797114731392015-04-02T00:36:00.001-07:002015-04-02T00:36:39.786-07:00New Video: J martins ft Koffi Olomide-Dance 4 meTUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-39411523710486964532014-03-18T15:28:00.001-07:002014-03-18T15:28:08.326-07:00BACK TO SCHOOL_Official trailerMOVIE back to school imetengenezwa na NORTHWOOD PICTURES, Directed by TUMSIFU KOMBE
Movie hii itakuwa dukani kuanzia April 01
TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-4960875637614571932014-03-07T05:45:00.002-08:002014-03-09T14:40:40.832-07:00MOVIE MPYA TOKA NORTHWOOD PICTURESTUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-58326412405648562282014-02-27T03:36:00.001-08:002014-02-27T03:36:25.169-08:00ADAM JUMA AFEDHEHESHWA NA KITENDO CHA MSANII PNC KUOMBA RADHI KWA KUPIGA MAGOTI
NA HII NI POST YA OSTADH JUMA ALIYOTUMA INSTAGRAM
TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-26718500494231159522014-02-14T01:02:00.004-08:002014-02-14T01:04:18.662-08:00HATIMEA MH.. JENISTA MHAGAMA ANENA KUHUSU AJIRA YA WALIMU WAPYA
Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu Mafunzo na Ufundi
Kutokana na mengi kuongelewa kuhusu ajira mpya za walimu,ambapo awali waheshimiwa mbalimbali wa wizara husika walikwisha kutoa matamko tofauti ambayo mpaka sasa hayajatimia,naye naibu waziri wa elimu mafunzo na ufundi mh.Jenista Muhagama aamua kunena.
Awali mwaka jana mwishoni, Naibu waziri anayeshughulikia Elimu (TAMISEMI),TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-92098173432001551512014-02-06T08:24:00.001-08:002014-02-06T08:24:45.474-08:00BEHIND THE SCENE UTENGENEZAJI WA FILAMU IITWAYO "BACK TO SCHOOL"
ZIFUATAZO NI PICHA ZILIZOPIGWA WAKATI WA UTENGENEZAJI WA FILAMU INAYOITWA BACK TO SCHOOL. FILAMU HII IMETENGENEZEWA MKOANI TANGA,NA KAMPUNI YA NORTHWOOD PICTURES CHINI YA DIRECTOR TUMSIFU KOMBE
TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-26438966277566852382014-01-21T18:03:00.002-08:002014-01-21T18:03:32.025-08:00ROSE MUHANDO AFANANISHWA NA YONDO SISTER NI BAADA YA WATU KUONA VIDEO YAKE MPYA "WOLOLO"
VIDEO YA ROSE MUHANDO INAYOKWENDA KWA JINA LA "WOLOLO" ALIYOIFANYIA NCHINI SOUTH AFRICA IMEZUA GUMZO KWA WATU WA-"KIROHO"
NA WENGI WAO KUTOA MAONI YAO KWA JINSI ROSE ANAVYOONEKANA "AKIKATA" MAUNO LIVE LIVE NDANI YA VIDEO HIYO:
BAADHI YA MAONI YA WATU BAADA YA KUIANGALIA VIDEO HIYO HAYA HAPA:
TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-40388040500066341392014-01-19T23:25:00.000-08:002014-01-19T23:25:31.206-08:00KISANDU AIBUKA KIDEDEA MJUMBE NEC-TAIFA NCCR MAGEUZI
HABARI ZAIDI INGIA HAPA BLOG YA MWAFRIKATUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-13942715937448390472014-01-02T12:01:00.002-08:002014-01-02T12:01:36.175-08:00SONG_SHILLINGI NI NANI_ ARTIST ADDYNG'ARITUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-57560838894205766212013-12-27T16:42:00.000-08:002013-12-27T16:42:02.957-08:00OFFICIAL VIDEO-YD_ SONG OLIVER, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE FROM NORTHWOOD PICTURESTUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-9166782208097581242013-12-12T12:46:00.001-08:002013-12-12T12:46:29.824-08:00AJALI MBAYA-BUS LA BURUDANI, YAUWA 12, MAJERUHI ZAIDI YA 50
Basi
la Burudani linalofanya safari zake za lushoto/korogwe kwenda Dar es
salaam leo limepata ajali katika kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni,
Imeripotiwa mpaka sasa watu zaidi ya 12 wamefariki na majeruhi zaidi ya
55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. .
Hospitali ya wilaya ya Korogwe.
Majeruhi wakipatiwa matibabu.aption
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-88126369068441245652013-11-28T13:36:00.002-08:002013-11-28T13:36:49.382-08:00OFFICIAL VIDEO FANTASTIC FT DE FUTURE_I NEED UVIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE-THE GREAT
TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-54693531648229650112013-11-13T08:51:00.000-08:002013-11-13T08:56:32.034-08:00WIVU_Official Trailer (HD)
NI TRAILER YA FILAMU YA KITANZANIA ILITENGENEZWA NA
TUMSIFU THE GREAT FILMS, WASHIRIKI WA FILAMU HII
WAMETOKA USAMBARA ARTS GROUP MKOANI TANGA, SOON
MZIGO HUU UTAKUWA OUT!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-39498200677959234682013-11-08T20:28:00.003-08:002013-11-08T20:28:41.847-08:00PICHA :- TUKIO ZIMA LA KUKAMATWA KWA DAKTARI MSTAAFU AWAKITOA WANAWAKE MIMBA HUKO MOSHI
JESHI la polisi mkoani Kilimanjaro limefanikiwa kumnasa daktari mstaafu
wa hospitali ya rufaa ya Mawenzi,mkoani Kilimanjaro, Frances Shayo(56)
akiwa katika harakati za kuwatoa mimba wanawake wawili akiwemo Irene
Musa(18) mwanafunzi wa shule ya sekondari Nkwereko iliyoko Masama
wilayani Hai.
Daktari huyo ambaye anatajwa kufanya vitendo hivyo
mara kwa mara amekamatwaTUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-82900825438718303812013-11-08T04:50:00.002-08:002013-11-08T04:57:11.555-08:00 TEASER VIDEO TOKA KWA MSANII RIDER DIRECTED BY TUMSIFU THE GREATTUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-63105937190812164522013-10-15T14:20:00.000-07:002013-10-15T14:21:00.212-07:00SHOW KALI TOKA KWA TASH & COUNTRY BOY NDANI YA CLUB GREEN VALLEY-LUSHOTO TANGATUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-65396375422510675492013-10-13T00:42:00.000-07:002013-10-13T02:14:32.024-07:00MWANDISHI ITV/RADIO ONE AJERUHIWA NA RISASI, MAMA YAKE AUWAWA, MUME WAKE AJIUA.
Pichani ni mtangazaji
wa kituo cha Television cha ITV Ufo Saro katika picha ya pamoja na Rais
Jakaya Kikwete alipokutana na waandishi mbalimbali Ikulu Decemba 12, 2012 (Picha kutoka Maktaba)
Kuna
taarifa kwamba mtangazaji wa kituo cha Television cha ITV (Ufo Saro)
amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya huko maeneo ya Kibamba leo Alfajiri
na mama yake mzazi kuuliwa. habari zaidi TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-48912422636990577052013-10-11T14:09:00.002-07:002013-10-11T14:09:52.892-07:00NEW TRACK-LOVE TONE FT RIDER_ SONG-"HOI"TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-39251685273961549682013-10-11T07:16:00.001-07:002013-10-11T07:19:22.670-07:00AJALI MBAYA YATOKEA HUKO TANGA, BASI LA BURUDANI NA LORI ZIMEGONGANA ........TAZAMA PICHA
Lori
la Mizigo likiwa limeacha njia jana, baada ya kugongana na basi katika
eneo la Kabuku mkoani Tanga na kuyahusisha magari matatu katika ajali
hiyo. (Picha na Francis Dande)
Baadhi
ya watu wakishuhudia ajali iliyoyakutanisha malori mawili pamoja na
basi la abiria lenye namba za usajili T 158 BXG, iliyotokea jana katika
eneo la Kabuku, mkoani Tanga.
TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-13133834116332012662013-10-08T15:46:00.001-07:002013-10-08T15:46:26.096-07:00Simco Ft Lule - Mwisho (OFFICIAL VIDEO)TUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5083635920057884731.post-56683225927481955582013-10-07T13:21:00.001-07:002013-10-13T02:14:32.022-07:00DIAS KIPINGU_NCHI YANGU, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU THE GREATTUMSIFU HARRY KOMBEhttp://www.blogger.com/profile/07582971643034373884noreply@blogger.com