.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Thursday, May 9, 2013

SHEKHE PONDA AHUKUMIWA KWENDA JELA MWAKA MMOJA


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo imemuhukumu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu , Shekhe Ponda Issa Ponda kwenda mwaka mmoja jela. Kesi hiyo inawakabili jumla ya washtakiwa 53 ambao walikuwa wafuasi wa katibu huyo. 
Hakimu Sundi Fimbo alitoa hukumu hiyo asubuhi ya leo mahakamani hapo huku upande wa mashtaka ukiongozwa na wakili wa serikali, Bernad Kongola. Awali ilidaiwa kuwa washtakiwa hao kwa pamoja walidaiwa kufanya maadamano haramu february 15 mwaka huu kwenda katika ofisi za DPP ambapo maandamano hayo yalizuiliwa na jeshi la polisi na wao
walikaidi agizo hilo. 
Hivyo kutokana na kukaidi zuio hilo baadhi ya maeneo ya jiji yalilazimika kutoweka amani kwa kuwa jeshi la polisi lililazimika kutawanya mikusanyiko iliyowekewa na wafuasi hao hivyo kusababisha uvunjifu wa amani nchini.




RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE