BEHIND THE SCENE

 • MOVIE SHOOTING

  Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
 • BACK TO SCHOOL

  SHOT IN TANGA TANZANIA
 • MUSIC VIDEO

  Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
 • MOVIE BACK TO SCHOOL

  Directed by TUMSIFU KOMBE
 • BACK TO SCHOOL

  wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
 • MOVIE NAME-WIVU

  Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
 • MUSIC VIDEO HERE

  Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
 • MOVIE-WIVU HERE

  Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Thursday, April 2, 2015

MSIMU MPYA WA KILI MUSIC AWARDS 2015 UMEWADIA


Msimu wa utoaji tuzo kwa wasanii wa muziki Tanzania wanaofanya vizuri umewadia huku mchakato wa awali wa mchanganuo wa tuzo hizo za Kili Tanzania Music Awards 2015 (KTMA) ukianza rasmi wiki hii.
Wakati mchakato huo ukisubiri mashabiki kuamua msanii yupi aingie katika kipengele kipi, wasanii wengi watakuwa matumbo joto kwa kile kinachoelezwa kwamba KTMA sasa zimekubalika zaidi kwao na mashabiki wa muziki.
Hata hivyo, msimu huo unatojawa kuwa wenye neema kwa wasanii, unazua maswali mengi vichwani mwa wasanii na mashabiki wao moja likiwa; ni nani atavunja rekodi iliyowekwa na mwanamuziki Diamond Platnumz mwaka jana?

"MALIPO YA MNYONGE" COMING SOON

"MALIPO YA MNYONGE"  ni filamu ya kiswahili inayozungumzia unyanyasaji wa kijinsia, mfumo dume na mila potofu katika jamii....movie hii imerekodiwa kwenye mazingira ya Kitanzania.....shooted & Edited by TUMSIFU KOMBE


New Video: Kanzu Maasai-MAISHA

Video Directed by Tumsifu Kombe @NORTHWOOD PICTURES

New Video: J martins ft Koffi Olomide-Dance 4 me


RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE