.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Friday, October 12, 2012

BREAKING NEWS- MAKANISA YABOMOLEWA, YACHOMWA NI BAADA YA KURAAN KUKOJOLEWA NA MTOTO WA MIAKA 12


 NA MOPHAT ALICO JAMES MWANJALA
HABARI zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinadai kuna vurugu zinazoendelea huko Mbagala Kizuiani zimeshika kasi mpya baada ya watu wanaodaiwa kuwa ni waislamu kuendela kuvunja na kubomoa na kuchoma moto makanisa huko Kizuiani........

MKASA ULIKUWA KAMA HIVI.
Mtoto mmoja aliyekuwa akitokea madrasa alikutana na mwenzake wa umri lingani miaka kumi na mbili, wote ni wakiume wakawa wanabishana na mwenzake kuwa huwezi kukojolea  huu msaafu utakuwa nyoka, yule mtoto akabisha na akaukojolea ule msaafu. Kilichofuatia pale ni yule mtoto kwenda kusema kwa baba yake yule baba alichoifanya ni kumchukua yule mtoto na kumpelekea kituo cha polisi 
Baaada ya muda wakakusanyika Kundi la waislamu wengi na kushinikiza kuwa yule mtoto afunguliwe mashitaka na apelekwe mahakamani haraka ghafla fujo ikazidi na ndipo polisi walipotumia mabomu ya machozi kuwatawanyisha wale watu kituoni hapo na ndipo askari walipomchukua mtoto yule na kumwamisha kutoka kituo cha polisi cha Kizuiani 
 Baada ya hao fujo ziliendelea amabapo  walivamia makanisa ya TAG { TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD} Kanisa la ANGLIKANA, Kanisa la Roman Catholic . Katika kanaisa la TAG wamechoma vyombo vya muziki, gari la mchungaji na kumjeruhi mama aliyekuwa kanisani hapo mara alipotaka kupiga simu.
Mpaka habari hizi zinaingia mitamboni jioni hii hali si shwari huko

RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE