INAKUWA NI VIGUMU KUAMINI KINACHOONEKANA KATIKA MAZINGIRA YA MJI WA LUSHOTO [MAENEO YA STAND NA SOKO] PAMOJA NA WANANCHI WAFANYABIASHARA WA ENEO HILI KULIPA USHURU WA SH. 200 KWA KICHWA [ KWA WAFANYA BIASHARA WA SOKONI] NA MAGARI YOOTE KULIPA USHURU YAINGIAPO STAND HAPA LAKINI HUWEZI AMINI KINACHOONEKANA KATIKA PICHA HIZI NI UCHAFU ULIOLUNDIKWA KARIBIA NA MAENEO YA BIASHARA TENA HAPA NDO STAND KUU YA LUSHTO. HII KWA HATA ASIYEKUWA NA AKILI HAIWEZI KUMUINGIA AKILINI, KINACHOONEKANA HAPA NI KUTOKUWA NA HUDUMA ZA UBEBAJI TAKA KATIKA ENEO HILI, AU HUDUMA HII KUWEPO KAMA KIVULI TUU NA UTENDAJI HAFIFU................
PICHA HIZI ZIMEPIGWA JUMAPILI TAREHE 14 MWEZI WA 10 MWAKA 2012
HIVI NDIVYO ENEO HILO LINAVYOONEKANA |
HIVI NDIVYO ENEO HILO LINAVYOONEKANA |