.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Monday, October 8, 2012

INADAIWA KUWA ALIYEPIGILIA MSUMARI KUWA KANUMBA FREE MASON AFARIKI GHAFLA

Inadaiwa kuwa George Nimayou mtanzania ambaye siku za nyuma alidai iliibuka na kudai kuwa kanumba alikuwa freemason afariki ghafla.
kijana aliyefahamika kwa jina la George Nimayou ambaye siku za nyuma aliibuka na kudai marehemu Steven Kanumba alikuwa freemason, amefariki dunia ghafla.
                                   Jeneza linalosemekana kuwa na mwili wa George Kairuki.

  Inadaiwa kuwa kilida  siku ya tukio zilisikika kelele ndani ya chumba alichokuwa na baada ya muda alitoka mwanamke na kutokomea 
“Na sisi tunasikia tu kuwa eti kafariki lakini mbona msiba wenyewe hatukuusikia na hata picha za tukio zinaonesha watu wachache sana, sisi tunahisi kuna kitu nyuma ya tukio hili, hatuamini kuwa amekufa
, “ alisema Mariam Hassan wa Tabata.
Mwili wa George Kairuki.

Mmoja wa maofisa wa polisi mkoa wa ilala  alisema, hawajapata taarifa ya tukio hilo na kwamba huenda ni

RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE