
NISHER, director anayekuja kwa kasi katika tasnia ya uandaaji wa music video akifanya vizuri na kutambulika vyema katika video alizoziandaa kama vile press play, dole, listern na nyingine nyingi zenye level ya kimataifa leo ameamua kuonesha hisia zake za dhati kwa baba yake na kuamua kujimwaga wazi wazi kuhusian na mzazi wake huyo kuwa ndio chanzo cha mafanaikio yake, Alichokiandika Director huyo kinaonekana hapa kwa chini......