RB ya Kituo cha Polisi cha Mabatini, Kijitonyama jijini Dar es Salaam iliyofunguliwa kwa jalada namba KJN/ RB/ 3397 inamsaka mtu anayetajwa kwa jina la Lord Eyez kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM).
Chanzo chetu cha uhakika kimeeleza kuwa, alfajiri ya Jumapili, Mei 22, mwaka huu Lord Eyez anadaiwa kufanya kitendo hicho baada ya kutoka na denti huyo katika ukumbi mmoja wa burudani katikati ya jiji. Awali Lord Eyez alikodi teksi sambamba na msichana huyo (jina lake linahifadhiwa) aliyekuwa akitaka kurudishwa chuoni kwake IFM. Inadaiwa kuwa, Lord Eyez alitaka kuchangia naye kuchukua teksi hiyo ili kila mmoja apelekwe kwenye maskani yake. “Lord Eyez alimghiribu denti yule kuwa angekuwa wa kwanza kupelekwa na teski ile hadi chuoni kwake kisha yeye angekuwa wa mwisho,” kilisema chanzo hicho. Mara baada ya denti huyo kupanda ndani ya teksi, Lord Eyez alimuamrisha dereva kuwapeleka Sinza bila ya kupitia katika Chuo cha IFM kama walivyokubaliana awali.
“Hata yule binti alipokuwa akimhoji dereva kwa nini haanzi kumpeleka chuoni, alimjibu kuwa alikuwa akisikiliza amri kutoka kwa Lord Eyez tu.”
Inadaiwa kuwa, wakati wakiwa katika safari ya kwenda Sinza, njiani Lord Eyez aligombana na msichana huyo hadi kumchana na chupa aliyokuwa akimtishia kumkata nayo.
Hata walipofika Sinza Mori, Lord Eyez alihakikisha anamdhibiti denti yule asiweze kufanya fujo.
“Alimchukua hadi chumbani katika nyumba moja ya wageni (gesti bubu) na hata yule demu alipokuwa akisema kuwa yeye si mpenzi wa Lord Eyes hakuna aliyemuamini kwa jinsi alivyokuwa amevaa,” kilisema chanzo chetu.
Inadaiwa kuwa, Lord Eyez alipoingia chumbani na denti huyo alimfanyia vurugu, akamchania nguo yake ya ndani na kumwingilia kwa nguvu.
Denti huyo alipata upenyo wa kuondoka baada ya Lord Eyez kuzidiwa na kilevi alichokitumia kwa kukisokota na kuchanganya na ungaunga uliomfanya kulewa chakari.
TUMSIFU THE GREAT
About Me
- TUMSIFU HARRY KOMBE
- Am a student at SEBASTIAN KOLOWA MEMORIAL UNIVERSITY [SEKOMU], A JOURNALIST AND MANAGING DIRECTOR AT TUMSIFU THE GREAT FILMS, ALSO A GRAPHICS DESIGNER, AUDIO AND VIDEO PRODUCER
HARAKATI
CHAT ROOM
Try Relay: the free SMS and picture text app for iPhone.
LABELS
- 2 (1)
- BUSSINESS NEWS (4)
- ENTERTAINMENT GOSSIP (28)
- FILMS (10)
- INTERNATIONAL NEWS (5)
- PICHA UCHI (5)
- SPORTS (2)
- STUDENTS NEWS (11)
- TANZANIA NEWS (41)
- TECHNOLOGY (1)
WASOMAJI
TUMSIFU KOMBE-Junior THK. Powered by Blogger.
KUWA MMOJA WAPO WA WADAU! FOLLOW HERE!!
SOMA HABARI ZILIZOPITA
BEHIND THE SCENE
-
MOVIE SHOOTING
Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL -
BACK TO SCHOOL
SHOT IN TANGA TANZANIA -
MUSIC VIDEO
Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U -
MOVIE BACK TO SCHOOL
Directed by TUMSIFU KOMBE -
BACK TO SCHOOL
wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL -
MOVIE NAME-WIVU
Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU -
MUSIC VIDEO HERE
Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania -
MOVIE-WIVU HERE
Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU
RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT
CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films
wibiya widget
SIKILIZA RADIO KISS FM HAPA
SOMA MAGAZETI HAPA
center>
ADVERTISE HERE
SOMA HABARI MPYA
LIKE PAGE YETU
MEET ME ON FACEBOOK
WEBSITES LINK
HABARI ZILIZOBAMBA
-
Ni siku ya jumamosi tarehe 10 dec 2011 ambapo wanachuo walioko ndani ya jumuiya ya SEDO ( Special Educators for Disabled and Orphans...
-
https://www.youtube.com/watch?v=MSUHXSzg_f4
-
GARI MAALUMU LA UJENZI WA BARABARA LIKIWA LIMEANGUKA NA KUZIBA BARABARA HALI KUKIWA NA UTELEZI NA MVUA JANA 9/05/2012 MKOANI TANGA KATIKA W...
-
MDOGO WAKE KANUMBA Baada ya kifo cha Kanumba, hivi sasa mdogo wake aliyekuwa akiishi naye nyumbani kwake asema kulikuwa a ugomvi kat...
-
RICROSE KWA STAGE katika Serengeti Fiesta 2012. RICROSE KWA STAGE katika Serengeti Fiesta 2012. THT NAO HAWAKUWA NYUMA katik...