.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Tuesday, October 23, 2012

BAADA YA KUIANIKA H/WILAYA YA LUSHOTO, BLOG HII YAKUTANA NA ONYO KALI

HIVI NDIVYO PANAVYOONEKANA KUKIWA  PASAFI NA KIBAO KILOCHOBEBA UJUMBE HUO
Baada ya blog hii, kutoa habari kuhusiana na uchafu uliokuwa umelundikwa katika maeneo ya stand na karibu na soko la lushoto mjini kama wiki moja hivi iliyopita, na kuoneshwa kukasirishwa na  kuhoji kulikoni hayo yafanyike wakati ushuru unatolewa na wafanya biashara sokoni hapa pamoja na ushuru kwa magari yanayoingia stand. Leo tarehe 23 mwezi wa 10 mtandao huu ulitembelea eneo la tukio na kuona kama kuna liliokuwa likiendelea na kukutana na kibao kikiwa na onyo kali "USITUPE TAKA HAPA" na kushuhudia wafanyakazi wakifanya usafi katika eneo hilo ambalo mwanzo lilikuwa limesahaulika.

RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE