.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Wednesday, September 19, 2012

ALIYEMKATALIA NEY WA MITEGO KUWA MAKAHABA WENYE DEGREE WAPO BONGO MOVIE NI NANI?

BAADA YA MSANII WA KIZAZI KIPYA NEY WA MITEGO KUTOKA NA SINGLE YAKE AMBAPO NDANI YA TRACK HIYO ALIFUNGUKA LIVE KWA MAMBO KADHA WA KADHA IKIWEMO KUDAI KUWA BONGO MOVIE IMEJAA MAKAHABA WENYE SHAHADA NA KUSHAMBULIWA VIKALI NA WADAU WA TASNIA HIYO, SASA ALICHOKIZUNGUMZIA UKWELI WAKE HUU HAPA................

Baada ya Ant Ezekiel  kuto kuonyesha heshima katika jukwaa la serengeti fiesta sasa habari nyingine ambayo imetokea mkoani Morogoro siku ya serengeti fiesta  katika viwanja vya jamhuri.Msanii anayejulikama kwa jina la Wema sepetu alionekana akiwa AMETINGA  nguo fupi ambayo sio ya HESHIMA ambapo maungo yake yalikwa yanaonekana bila MKWARUZO KWARUZO
WEMA SEPETU ( ACTRESS BONGO MOVIE)



  AUNT NAYE AJITOKEZA NA KUOMBA RADHI KWA KUDAI KUWA ILIKUWA NI POMBE, SWALI NI JE? WAKATIA ANATOKA NYUMBANI NA KUVAA KINGUO CHA KIHUNI KAMA HIKI, ALIKUWA TAYARI AMESHAKUNYWA POMBE? NYAMBAAAAAAAAAAAAAAAAF!
AUNT EZEKIEL (ACTRESS BONGO MOVIE)













                                                   HII NDO BONGO MOVIE BHANA! 

                        BHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAS

RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE