.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Friday, August 31, 2012

MBUNGE WA VUNJO DR. MREMA KUONGOZA MAANDAMANO YA WAKULIMA

DR AUGUSTINO LYATONGA MREMA

Mbunge wa jimbo la Vunjo Dr. Augustino Lyatonga Mrema, Jana tar.30 August 2012 alikutana na Wananachi wa eneo la Mwika kusini na kusikiliza matatizo yao na hatimaye kutoa tamko lake ikiwa ni pamoja na kuwaongoza wananchi wake kwenye maandamano endapo serikali haitowasikiliza.
wazee wakimsikliza kwa makini
 Wakiongea katika mkutano uliofanyika katika kiwanja cha kituo cha Afya msae jana, wananchi waionesha kutokuwa na imani na chama cha wakulima wa zao la kahawa KNCU kuwa kuna


 ubadhilifu wa fedha zilizolipwa na mamlaka ya barabara TANROADS kupisha ujenzi wa barabara ya marangu kwenda Rombo na kulalamika ,kutokujua matumizi halali ya fedha hizo


Akiongea kwa Jazba na ukali, Mbunge wa jimbo hilo Dr. Augustino Lyatonga Mrema, aliwataka viongozi wa KNCU kuwajibika kwa kueleza matumizi ya fedha hizo za wananchi, na kendelea kuonesha wasiwasi wake kwa Viongozi hao kwani hawakuwa mkutanoni hapo wakati walikuwa na taarifa za ujio wa mbunge huyo.



Dr Mrema pia aliitaka serikali kuwalipa wananchi fidia za madeni yao haraka na kutoa tamko la kuongoza maandamano endapo serikali haitofanya hivyo. 



 HABARI KWA USHIRIKIANO NA
MARIKI GODLISTEN-SAUT, MWANZA




RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE