Am a student at SEBASTIAN KOLOWA MEMORIAL UNIVERSITY [SEKOMU], A JOURNALIST AND MANAGING DIRECTOR AT TUMSIFU THE GREAT FILMS, ALSO A GRAPHICS DESIGNER, AUDIO AND VIDEO PRODUCER
Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
BACK TO SCHOOL
SHOT IN TANGA TANZANIA
MUSIC VIDEO
Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
MOVIE BACK TO SCHOOL
Directed by TUMSIFU KOMBE
BACK TO SCHOOL
wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
MOVIE NAME-WIVU
Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
MUSIC VIDEO HERE
Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
MOVIE-WIVU HERE
Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU
Monday, June 27, 2011
MZEEEYAH SHAGGY APAGAWISHA WAKAZI WA MWANZA LIVE ILE KINOMANOMA!!!....!!!!
Top Caribbean entertainers, Orville Richard Burrell aka Shaggy leo ametoa burudani ya kufuka mtu kwa wakazi wa Mwanza, vitongoji vyake na mikoa ya karibu waliohudhuria Tamasha la kwanza la Serengeti Fiesta Kirumba Mwanza.
Pagawa na nyomi.
Hii Jeh!
Mavocalisti wa Shaggy wakisababisha!
Katika steji jamaa ni mnoma!
B12,Zama,Mama Jonii na Mchomvu ''Haya Twendeeeeeh!!
Na yako macho...
Mbunifu mashuhuri nchini Tanzania na Afrika Ally Remtullah naye alikuwemo sambamba na kushuhudia show ya kwanza nchini pia alikuwa na banda maalum kwaajili ya kuuza Bidhaa za ubunifu wake hapa katika pic na Rock Citiz Sharobaros. Barnaba na wana wa Rock City eh bwanaaaeeeH!!
Serengeti Oyeeeeh!!
Lejendari-Hipitihipopu' wakiwa back stage.
Kama kawaida yake msanii Diamond alilimiliki vilivyo jukwaa na kucheza na wana Mwanza.
Mc wa shughuli Adam Mchomvu aka Baba Joniii' akichanwa 'Kifrii staili' na mjunki mmoko hivi aliyepanda stage kufanya makeke.
Fid Q aliwaongoza wasanii wote waliodrop Mwanza kusherehesha Fiesta 2011 katika DAKIKA MOJA YA UTULIVU kwaajili ya kumbukumbu ya aliyekuwa Mtangazaji Mheshimiwa Mbunge Amina Chifupa aliyefariki dunia tarehe 26/juni
Haina Majotrooo! Hawa waliamua kujitenga kabisa kwenye kona na kuamua kutupia kitu cha kiduku!
Mtangazaji wa Soso-Fresh Reuben ndege aka mzeeeeyah aka Ncha Kali shukurani kwa wakazi wa mwanza na tathimini mahojiano.