.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Wednesday, March 20, 2013

WATUMIA NEMBO YA ITV KUTAPELI KWENYE MTANDAO



Matukio ya wizi kwa kutumia mitandano yameshamiri sana kwa nyakati hizi za teknolojia kukua, ambapo nembo ya kampuni  ya kurusha matangazo Tanzania  ITV kuhusishwa kwa namana moja au nyingine na wizi huu kwa kutumia mitandao. Taarifa toka ITV zinadai kuna watu waliofungua facebook page yenye nembo yao na kuwahadaa watu kuwa wao ni ITV na wanatoa mikopo kwenye mitandao kwa haraka haraka kwa vijana na wajasiriamali wote watakaojiunga nao, huku wakisema kuwa wao ni wanamiliki AKIBA SACCOS inayomilikiwa na bank ya AKIBA ambao nao wamekanusha kuutambua mtandao huo.
ITV imetumia ukurasa wake wa facebook  kuwataka washabiki wake wote kuwa makini na matapeli kwani wao hawautambui mtandao huo.
UKURASA WA FACEBOOK WA ITV UNAVYOONEKANA KUHUSIANA NA TAARIFA HIYO




RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE