.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Tuesday, January 8, 2013

MSANII OMARY OMARY AFARIKI DUNIA

             Msanii maarufu wa miondoko ya mchiriku Omary Omary amefariki dunia

Taarifa tulizozipata ivi punde: Msanii wa muziki wa mchiriku hapa nchini Tanzania maarufu kama Omari Omari amefariki dunia leo...
Akielezea kifo cha msanii huyo, Mkubwa Fella ambaye ni jirani yake amesema marehemu Omari Omari alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua na
  alikuwa amelazwa katika hospitali ya Temeke lakini usiku wa kuamkia leo mwanamuziki huyo alifariki dunia
  MSIBA WA OMARY OMARY UPO NYUMBANI KWAO TEMEKE MIKOROSHINI
         MUNGU AILAZE ROHO YA MAERHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINI

RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE