.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Friday, April 27, 2012

TIMU YA NETBALL WANAWAKE CHUO KIKUU SEBASTIAN KOLOWA UNIVERSITY COLLEGE, YAIBUKA KIDEDEA DHIDI YA KOROGWE GIRLS, KOROGWE UNITED YAICHAPA TIMU YA SEKUco BAO 5 KWA 1


      Chuo kikuu kishiriki cha Tumaini, Sebastian Kolowa University college (SEKUco) kilikuwa na safari ya kimichezo katika mji wa Korogwe jana tarehe 26 /04/2012, michezo iliyojumuishwa ni pamoja na mpira wa kikapu, mpira wa miguu, na mpira wa pete,

TIMU YA KIKAPU YA SEKUco

    Timu ya mpira wa pete, ilivaana na timu ya mpira wa pete ya shule ya sekondary ya korogwe girls, na hatimaye kuibuka na ushindi dhidi ya timu hiyo, iliyokuwa na upinzani mkubwa kipindi chote cha mchezo
    Timu ya mpira wa kikapu ya SEKUco ilivana na timu ya kikapu ya Korogwe united ya korogwe, na hatimaye ushindi ukaenda kwa timu ya korogwe united kwa kuichapa timu ya SEKUco range 52 kwa 44.


Yote kwa yote sasa kimbembe kilikuwa kwenye timu ya mpira wa miguu ambapo timu ya SEKUco ilipigwa mvua ya goli 5 kwa moja na wanyama hao wa korogwe united. Katika historia ya timu ya CHUO KIKUU CHA SEBASTIAN KOLOWA, Haijawai tokea kufungwa magoli mengi kama ilivyotokea kwa siku ya jana,











  
   TUNATOA SHUKRANI ZETU ZA DHATI KWA WASHIRIKI WOTE WALIOJITOKEZA NA KUTOA USHIRIKIANO WAO, MIONGONI MWAO NI TIMU YA MPIRA WA PETE YA KOROGWE GIRLS, TIMU YA MPIRA WA PETE YA KOROGWE UNITED NA TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA KOROGWE UNITED.

RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE