.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Monday, March 12, 2012

MASANJA AKANUSHA UVUMI KIFO CHA VENGU

Kufuatia uvumi ulio-spread hapo siku ya juzi kuamkia jana kuhusiana na kifo  cha mchekeshaji maarufu nchini  wa kipindi cha ze comedy kinachorushwa na TBC1 Joseph Shamba hali maarufu VENGU kushtua watu walio wengi nchini, Mchekeshaji member wa kundi hilo maarufu kama Masanja mkandamizaji aliamua kuvunja ukimya kwa kukanusha uvumi huo.

Baada ya uvumi huo kuvuma kwa muda ndipo Masanja alipoamua kupost status kwenye mtandao wa kijamii wa facebook hapo majira ya saa nne kasoro usiku wa jana.na kudai kuwa mwenzao huyo anaendelea vizuri na yupo india kwa matibabu.
saa nne kasoro usiku wa jana.na kudai kuwa mwenzao huyo anaendelea vizuri na yupo nchini india kwa matibabu.
VENGU ALIPOTEMBELEWA NA RAIS MUHIMBILI
JOSEPH SHAMBA AMA VENGU WA KWANZA KUTOKA KULIA AKIWA NA WASANII WENZAKE WA KUNDI LA ORIGINAL COMEDY.
MTANDAO HUU UNAMUOMBEA MUNGU MSANII HUYU APONE MAPEMA NA AREJEE      KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA.

RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE