.

.

.

.


TUMSIFU THE GREAT

BEHIND THE SCENE

  • MOVIE SHOOTING

    Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • BACK TO SCHOOL

    SHOT IN TANGA TANZANIA
  • MUSIC VIDEO

    Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U
  • MOVIE BACK TO SCHOOL

    Directed by TUMSIFU KOMBE
  • BACK TO SCHOOL

    wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL
  • MOVIE NAME-WIVU

    Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU
  • MUSIC VIDEO HERE

    Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania
  • MOVIE-WIVU HERE

    Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU

Sunday, March 17, 2013

MAMA MKWE AMUUA MWALI WAKE SIKU MBILI KABLA YA HARUSI


EJIRO , mhitimu katika chuo kikuu cha Benin, afariki dunia akiwa usingizini siku mbili kabla ya harusi yake katika mji wa Effurum Nigeria.  Ejiro pamoja na mchumba wake ambaye ni daktari walikuwa wamepanga kuoana  na tayari walikuwa wameshatimiza taratibu zote za kimila. Ghafla siku ya alhamisi jioni ikiwa ni siku mbili tuu kabla ya harusi yao binti huyo alianza kulalamika kuumwa kichwa isivyo kawaida na kuanza kuongea maneno yasiyo ya kawaida mithili ya mtu aliyechanganyikiwa  kitu kilichowashtua ndugu zake na kuamua kumkimbiza katika kanisa jirani na kuombewa na mchungaji , baadaye usiku alifariki dunia akiwa usingizini.
CHANZO CHA KIFO CHAKE.
Habari kutoka kwenye familia zinadai kutokuwa na maelewano kati ya familia ya bibi na bwana harusi hao watarajiwa hasa kwa mama wa bwana harusi aliyekuwa akiipinga ndoa ya mtoto wake huyo ambaye ni daktari kumuoa binti huyo na kuitaka familia ya bibi harusi kuivunja ndoa hiyo haraka iwezekanavyo.
Bwana harusi huyo siku za nyuma alionekana kumlalamikia mama yake wazi wazi kwa kujaribu kumzuia kumuoa binti huyo, huku binti naye akiapa kujiua endapo atazuiliwa kuoana mchumba wake huyo ambaye ni daktari. Siku iliyofuata mama mkwe huyo alikiri kumuua mwali wake mtarajiwa huyo kwa uchawi na kudai sababu ilikuwa hataki aolewe na mtoto wake kitu kilichowaacha ndugu na majirani vinywa wazi.

RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT

CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films

wibiya widget

TUMSIFU THE GREAT © 2012.All Rights Reserved.Designed by Tumsifu Kombe Modified by Nicolaus Trac-0716 276 000 :ICT EXPERT Sponsored by: JIPANGE