TUMSIFU THE GREAT
About Me
- TUMSIFU HARRY KOMBE
- Am a student at SEBASTIAN KOLOWA MEMORIAL UNIVERSITY [SEKOMU], A JOURNALIST AND MANAGING DIRECTOR AT TUMSIFU THE GREAT FILMS, ALSO A GRAPHICS DESIGNER, AUDIO AND VIDEO PRODUCER
HARAKATI
The great akiwa na Mbunge wa Arusha Mjini MH GODBLESS LEMA
CHAT ROOM
Try Relay: the free SMS and picture text app for iPhone.
LABELS
- 2 (1)
- BUSSINESS NEWS (4)
- ENTERTAINMENT GOSSIP (28)
- FILMS (10)
- INTERNATIONAL NEWS (5)
- PICHA UCHI (5)
- SPORTS (2)
- STUDENTS NEWS (11)
- TANZANIA NEWS (41)
- TECHNOLOGY (1)
WASOMAJI
TUMSIFU KOMBE-Junior THK. Powered by Blogger.
KUWA MMOJA WAPO WA WADAU! FOLLOW HERE!!
SOMA HABARI ZILIZOPITA
BEHIND THE SCENE
-
MOVIE SHOOTING
Wakati wa utengenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL -
BACK TO SCHOOL
SHOT IN TANGA TANZANIA -
MUSIC VIDEO
Wakati wa utengenezaji wa music video inakwenda kwa jina la I NEED U -
MOVIE BACK TO SCHOOL
Directed by TUMSIFU KOMBE -
BACK TO SCHOOL
wakati wa utrngenezaji wa movie inayoitwa BACK TO SCHOOL -
MOVIE NAME-WIVU
Behind the scene ya upigaji picha wa movie inayoitwa WIVU -
MUSIC VIDEO HERE
Upigaji wa picha wa Music video, msanii anajulikana kwa jina la Rider, wimbo DECEMBER, Shot in Tanga Tanzania -
MOVIE-WIVU HERE
Upigaji picha wa movie inayojulikana kwa jina la WIVU
Tuesday, March 18, 2014
BACK TO SCHOOL_Official trailer
MOVIE back to school imetengenezwa na NORTHWOOD PICTURES, Directed by TUMSIFU KOMBE
Movie hii itakuwa dukani kuanzia April 01
Friday, March 7, 2014
Thursday, February 27, 2014
Friday, February 14, 2014
HATIMEA MH.. JENISTA MHAGAMA ANENA KUHUSU AJIRA YA WALIMU WAPYA
![]() |
| Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu Mafunzo na Ufundi |
Awali mwaka jana mwishoni, Naibu waziri anayeshughulikia Elimu (TAMISEMI),Kassim Majaliwa,alinukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari na kusema ajira hizo zinategemewa kutoka mwezi wa kwanza 2014,ambapo kauli hiyo haikutimia mpaka sasa mwezi wa pili na hakutoa tena tamko lolote juu ya hilo.
Mwishoni wa mwezi wa kwanza katibu wa Elimu Mafunzo na Ufundi, Prof. Sifuni Mchome,naye alitoa taarifa kupitia kituo kimoja cha TV,yaani EATV,akisema kila kitu tayari na wanasubiri kutangaza tu hizo ajira mpya za walimu,ambapo mpaka sasa pia kauli hiyo bado haijatimia maana ni kama wiki tatu zimeshapita.
Tarehe 11/02/2014,kulikuwa na kikao ambacho kilihusisha wadau mbalimbali wa elimu yaani walimu na wadau wengine wa sekta hiyo.Kikao hicho kiliendeshwa ndani ya ukumbi wa shule ya sekondari ya Lugalo iliyopo manispaa ya Iringa.
Kikao hicho ambacho mgeni rasmi alikuwa mh. Jenista Mhagama kama naibu waziri Elimu,aliweza kusikiliza mengi yanayoikumba sekta ya elimu.Pamoja na mambo mengi yaliyozungumziwa,wadau walitaka kufahamu ajira mpya za walimu zitatoka lini.
Kwa mujibu wa naibu waziri huyo alisema kuwa wale wote wanaosubiri ajira hizo,majina yatatoka tarehe 1/04/2014 kwasababu kwa sasa serikali haina fedha na nyingi zimetumika kwenye maswala mbalimbali ya kitaifa lakini kubwa ni maswala ya katiba mpya.
Kwa maelezo zaidi unaweza ukawasiliana na mdau yeyote wa elimu aliyehudhuria kikao hicho cha tarehe 11/02/2014,shule ya sekondari Lugalo iliyopo manispaa ya Iringa mjini.
Thursday, February 6, 2014
BEHIND THE SCENE UTENGENEZAJI WA FILAMU IITWAYO "BACK TO SCHOOL"
ZIFUATAZO NI PICHA ZILIZOPIGWA WAKATI WA UTENGENEZAJI WA FILAMU INAYOITWA BACK TO SCHOOL. FILAMU HII IMETENGENEZEWA MKOANI TANGA,NA KAMPUNI YA NORTHWOOD PICTURES CHINI YA DIRECTOR TUMSIFU KOMBE
Subscribe to:
Posts (Atom)
RIDER_DECEMBER OFFICIAL VIDEO, VIDEO DIRECTED BY TUMSIFU KOMBE THE GREAT
CHAZ MAVOKO-SONG KWAHERI, Video directed by Tumsifu the great films
wibiya widget
SIKILIZA RADIO KISS FM HAPA
SOMA MAGAZETI HAPA
center>
ADVERTISE HERE
SOMA HABARI MPYA
LIKE PAGE YETU
MEET ME ON FACEBOOK
WEBSITES LINK
HABARI ZILIZOBAMBA
-
Pokello, Mwanadada mshiriki wa Big Brother Africa akiwa mwakilishi wa nchi ya Zimbabwe amejikuta katika wakati mgumu baada ya boyfriend ...
-
FUATA MAELEKEZO YAFUATAYO, NI RAHISI SANA, UTAWEZA KUIFANYA MODERM YAKO KUTUMIA LINE ZOTE.. . You have to use DC ...
-
Lori la Mizigo likiwa limeacha njia jana, baada ya kugongana na basi katika eneo la Kabuku mkoani Tanga na kuyahusisha magari matatu kat...
-
NI TRAILER YA FILAMU YA KITANZANIA ILITENGENEZWA NA TUMSIFU THE GREAT FILMS, WASHIRIKI WA FILAMU HII WAMETOKA USAMBARA ARTS GROUP MKOANI...
-
Basi la Burudani linalofanya safari zake za lushoto/korogwe kwenda Dar es salaam leo limepata ajali katika kijiji cha Taula Wilaya ya Ha...
PROUDLY SPONSERED BY
COMMENT HERE.....ACHA UJUMBE HAPA
BLOG MARAFIKI
-
-
-
-
-
-
-
-
Cheka nuna.12 years ago
-
-
-
-
-
-



